Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa linaendelea na mkutano wa dharura kujadili mgogoro wa Gaza// Kongamano la siku moja kuhusu uwekezaji na biashara katika mataifa ya Afrika Mashariki limefanyika leo katika mji mkuu wa Ujerumani, Berlin// Nchini Burundi imeundwa tume ya uchunguzi kuhusu mauwaji ya watu 26 katika mkoa wa Ruhagarika.