Mji wa Aleppo waakuangukia rasmi mikononi mwa serikali// Serikali ya Rais Barack Obama imefutilia mbali mkataba wa kuipelekea Saudi Arabia baadhi ya silaha// Serikali ya Kenya imetishia kuwafukuza kazi madaktari wanaogoma ikiwa hawatarejea kazini// Rais wa Gambia Yahya Jammeh hapo jana amewasilisha pingamizi katika mahakama kuu nchini humo kupinga matokeo ya uchaguzi wa urais.