Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limetaka usitishwaji wa machafuko katika jimbo la Rakhine nchini Myanmar// Urusi leo hii imeanza mazoezi makubwa ya pamoja ya kijeshi na Belarus katika eneo la mashariki mwa Ulaya// Ofisi ya umoja wa mataifa inayo husika na haki za binaadam Burundi ilishambuliwa usiku wa kuamkia leo.