Tanzania: Rais Samia Suluhu aendelea na ziara yake Mwanza/ Sheikh Mkuu wa Tanzania ametaka mamlaka nchini humo kutenda haki ili masheikh wa kundi la uamsho wanaoendelea kushikiliwa gerezani kujua hatma yao/ Congo: Mapambano baina ya jeshi la serikali na waasi wa kundi la CODECO/ Mkutano wa kilele wa NATO waishupalia China/ Kongamano la vyombo vya habari la DW kuangazia usumbufu na ubunifu