Marekani inaamini kuwa Iran inahusika na kushambuliwa kwa meli za mafuta kwenye mlango wa bahari wa Hormuz katika Ghuba ya Oman//Baraza tawala la kijeshi nchini Sudan limekiri kwa mara ya kwanza kabisa, wao ndio walioamuru wanaharakati waliopiga kambi mbele ya makao makuu ya jeshi mjini Khartum