Rais Donald Trump wa Marekani anasema mashambulio dhidi ya meli mbili za mafuta katika bahari ya Oman katika Ghuba la uajemi,"yana mhuri wa Iran"//Ujerumani na Ufaransa zimekuwa timu za kwanza kufuzu hatua ya 16 bora baada ya timu hizo mbili kushinda michezo miwili ya kwanza katika mashindano ya kombe la dunia kwa wanawake