Corona: Idadi ya vifo England ni kubwa kuliko ile inayoripotiwa/ Beni yatangaza visa vitatu vya Ebola/ Vikosi vya Haftar vyaishambulia Tripoli/ Mseto wa hisia umeendelea kutolewa na wakenya kuhusiana na taratibu zinazozingatiwa na serikali kuu nchini Kenya katika kufanikisha mazishi ya watu wanaofariki kutokana na kirusi cha Corona