Mchakato wa uchunguzi dhidi ya Trump wafanyika hadharani/ Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ameahidi kumsaidia kijeshi rais Felix Tshisekedi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo katika kupambana na makundi ya wenye silaha nchini humo> Mahojiano/ Shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na idadi ya watu duniani, UNFPA limeitisha kongamano la kimataifa mjini Nairobi