Rais wa zamani aliyeipatia Brazil umaarufu katika jukwaa la kimataifa amepatikana na hatia ya kupokea rushwa na utakatishaji fedha// Rais wa Marekani Donald Trump amewasili mjini Paris Ufaransa kwa ziara rasmi// Vikosi vya serikali nchini Rwanda vimewauwa takriban watu 37 waliokuwa wanatuhumiwa kwa kufanya vitendo vya wizi mdogo mdogo.