Wasafiri nchini Mali wamekwama kutokana na vikwazo vya Afrika Magharibi+++Msumbiji- Wapiganaji wameendelea kutanua uwanja wa mapambano unaolizunguka eneo la mkoa wa kaskazini wa Cabo Delgado+++ Bunge la iraq limefanya kikao chake cha kwanza lakini mijadala ya ufunguzi iligeuka kuwa mabishano makali kati ya makundi ya Washia.AFCON- Ivory Coast yapata ushindi dhidi ya Guinea ya Ikweta.