Iran yasema haiwezi kujadiliana juu ya mpango wake wa nyuklia baada ya Trump kutishia kuitoa Marekani. Umoja wa Afrika wamtaka Donald Trump kuyaomba radhi mataifa ya Afrika kwa kuyadhalilisha. Aung San Suu Kyi asifu hatua ya jeshi kukiri mauaji ya Warohigya.