Kenya leo inaadhimisha miaka 54 tangu ilipojipatia uhuru kutoka kwa Uingereza// Raia wa Burundi wamelazimika sasa kuchangia ili kugharimu uchaguzi utakao fanyika mwaka 2020// Ujuerumani imekubali kuisadia Ghana kiasi cha dola milioni 118 kwa ajili ya kuhamasisha matumizi ya nishati jadidifu.