Bunge la Burundi limepiga kura hii leo na kuupitisha muswada wa sheria uliyowasilishwa na serikali kwa nchi hiyo kujiondoa uwanachama wa mahkama ya kimataifa ya uhalifu ICC// Kansela Angela Merkel amemkaribisha kwa heshima za kijeshi, rais Idriss Deby wa Tchad// Mataifa matatu ya Jumuia ya Afrika Mashariki yamezindua visa ya pamoja itakayoimarisha utalii katika jumuia hii ya Afrika mashariki.