Kiongozi mkuu wa Kanisa Katoliki ulimwenguni Papa Francis ameyasihi makundi yanayopigana nchini Syria kusitisha vita mara moja// Rais Barack Obama wa Marekani hapo jana amewashambulia Warepublican kwa kuendelea kumuunga mkono mgombea wa chama hicho Donald Trump// Kansela Angela Merkel wa Ujerumani amekamilisha ziara yake katika mataifa matatu ya Afrika.