Kenya: Mwili wa aliyekuwa rais wa pili wa taifa la Kenya, Daniel arap Moi, umezikwa kwenye shamba la Kabarak/ Mtandao wa watetezi wa haki za binadamu nchini Tanzania umesema kuwa makundi ya kutetea haki za binadamu yameingiwa na hofu kutokana na kuwepo kwa matukio ya vitisho kutoka kwa serikali na hivyo yanahisi hayapo salama/ WHO: Visa vya Ebola nchini DRC vyaendelea kupungua