Baada ya mashiria ya kijasusi nchini Marekani kuwasilisha ripoti yao ya uchunguzi kwa Rais Obama pamoja na Rais MteuleTrump mvutano umeibuka kati ya Rais huyo Mteule na mashirika hayo// Magufuli ameendelea na ziara yake ya kikazi katika mikoa ya Kanda ya Ziwa, Tanzania// Magufuli jana aliwataka raia kupuuza taarifa zinazotolewa na vyombo vya habari na wanasiasa kuwa nchi hiyo inakabiliwa na njaa.