Marekani na Ulaya zinataka kuufufua ushirika wao wa Bahari ya Atlantiki na kuonesha msimamo wa wazi dhidi ya Urusi+++Kiasi watu 350,000 katika jimbo lenye mgogoro la Tigray nchini Ethiopia wanaishi katika hali ya mazingira ya njaa+++Kiongozi wa kundi la kigaidi la Boko Haram nchini Nigeria, Abubakar Shekau, anasemekana kuwa amejiuwa mwenyewe akiwa kwenye mapigano.