Iwapo Rais wa Marekani Donald Trump alikuwa sahihi katika kuchukua maamuzi ya kuindoa Marekani kwenye makubaliano kuhusu mpango wa nyuklia wa Iran yaliyofikiwa mwaka 2015// Ripoti mpya iliyotolewa na Taasisi ya Oakland mjini Carlifonia nchini Marekani inafichua jinsi kampuni zinazoratibu safari za watalii zinavyotumia machafuko na vitisho kudhibiti ardhi nchini Tanzania.