Tanzania: Wabunge watatu wa chama kikuu cha upinzani, Chadema hatimaye leo waondolewa kutoka gerezani/ Covid-19: Ujerumani haina mpango wa kufunga mipaka/ Janga la virusi vya corona: Ugonjwa wa nadharia za uwongo/ Biden azidi kujizatiti kuelekea uteuzi wa Democratic