Buriani rais wa pili wa Kenya Mzee Moi/ Sudan na makundi ya Darfur yakubaliana kuwapeleka watuhumiwa ICC/ Leo ni miaka 30 tangu Nelson Mandela alipotoka jela/ Maelfu ya Wapalestina wameandamana kuipinga jitihada ya Rais wa Marekani katika eneo la Mashariki ya Kati/ Serikali ya Tanzania imesema inaendelea kuimarisha mifumo yake ya kompyuta kuhakikisha usalama wa anga la mtandao