Viongozi wa jumuiya za kimataifa wameendelea kuzungumzia lakini kwa uangalifu mkubwa matokeo ya uchaguzi wa uraisi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo yaliyotangazwa mapema jana//Kansela wa Ujerumani Angela Merkel amemsifu waziri mkuu wa Ugiriki Alexis Tsipras