Makundi ya waangalizi sita yameelezea kuwa mchakato wa uchaguzi nchini Kenya ulikuwa huru, wazi na wa haki siku mbili baada ya wakenya kushiriki uchaguzi huo// Picha jumla ya kile kinachoendelea hadi sasa katika ukumbi wa kujumlishia matokeo wa Bomas mjini Nairobi//Na huko katika Kaunti ya Nakuru, mtafaruku unaoshuhudiwa katika kuyajumlisha matokeo ni hali inayozua taharuki baina ya wananchi.