Ziara ya ujumbe wa wataalamu wa WHO nchini China imekamilika bila ya kutambua chanzo cha virusi vya corona / Kenya kuwanunulia wawakili wa kaunti magari ya dola mil.41/ Balozi wa Marekani nchini Tanzania alikutana na katibu mkuu wa jumuiya ya Afrika mashariki Arusha Tanzania/ Maandamano yaendelea Myanmar kushinikiza utawala wa kiraia