Mahakama ya rufaa ya shirikisho nchini Marekani imekataa kuidhinisha marufuku ya kusafiri ambayo ni amri iliyotolewa na Rais Donald Trump// Wakati wanasiasa wakiwasilisha "Hatua za Mpango fulani" na pia zikitajwa kuwa ni "jitihada za kitaifa", basi ujue kuna jambo// Bunge la Afrika Kusini jana liligubikwa na mapambano ya kupigana miereka na ngumi.