UN yalaani ukandamizaji dhidi ya waandamanaji Kongo/ Rais Moon Jae In wa Korea Kusini yuko tayari kukutana na Kim Jong-Un/ Tanzania: Wakimbizi zaidi ya 80 wanashikiriwa na jeshii la Polisi mkoani Kigoma kufuatia kuibuka kwa vurugu katika kambi ya wakimbizi ya Nyarugusu/ Ujerumani: Wakosoaji wameilaumu serikali ya Ujerumani kwa undumilakuwili linapokuja suala la kuwatumikisha watoto kama askari