Yemen kukumbwa na janga la njaa ambalo halijawahi kushuhudia duniani // Rais wa Marekani Donald Trump na mwenzake wa China Xi Jinping wameonyesha kuelewana juu ya masuala muhimu baada ya mazungumzo ya siku mbili// Mahakama ya juu ya Ujerumani imeamrisha bunge kuitambua "jinsia ya tatu".