Kansela wa Ujerumani Angela Merkel, amelipongeza shirika la msaada wa chakula la Umoja wa Mataifa WFP, kwa kushinda Tuzo ya Amani ya Nobel leo, na kusema limestahili// Rais Uhuru Kenyatta nchini Kenya ametaja leo hadi siku ya Jumapili kuwa siku za maombi ya kitaifa