Marekani imekasirishwa na mpango wa Uturuki wa kushambulia kijeshi Kaskazini Mashariki mwa Syria lakini ukweli ni kwamba rais Erdogan na mwenzake Trump wanacheza mchezo mmoja/ Miaka 30 iliyopita watu 70 000 waliteremka majiani mjini Leipzig kudai uhuru na demokrasia/ Sudi Mnette yuko ziarani katika maeneo ya mpaka uliokuwa ukiigawa iliyokuwa Ujerumani Mashariki na Magharibi/ Barua kutoka Dar