Mkasa wa mwandishi habari Jamal Khashoggi/ Syria: Makundi ya jihadi na waasi wanaoungwa mkono na Uturuki wameondoa silaha nyingi nzito kutoka maeneo yanayozunguka ngome kuu ya mwisho ya makundi ya upinzani nchini humo ya Idlib/ Tanzania: Prof. Lipumba amesema chama chake cha CUF kinahujumiwa na chama tawala CCM na maofisa wa serikali ili kipoteze uungwaji mkono kwenye ngome zake