Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni pamoja na:Makundi manne ya demokrasia yaliyoshiriki kwenye Mazungumzo ya Kitaifa ya Tunisia yametunukiwa Tuzo ya Amani ya Nobel kwa mwaka huu wa 2015//Na Umoja wa Mataifa umependekeza kuundwa kwa serikali ya umoja wa kitaifa nchini Libya, kwa lengo la kumaliza mzozo uliodumu kwa miaka kadhaa.