Waziri mkuu wa Somalia Mohamed Hussein Roble amtuhumu Rais Mohamed Abdullahi Mohamed kuingilia uchunguzi muhimu +++Ujerumani, China, Japan na Umoja wa Ulaya hawakuridhishwa na serikali mpya ya mpito iliyoundwa na Taliban nchini Afganis+++Nchini Ujerumani, katika maeneo yaliyoathiriwa na mafuriko yaliyotokea hivi karibuni, watu wana mambo mengine ya kufikir.