Mshauri wa rais wa Ufaransa afanya ziara nchini Iran kujaribu kuokoa makubaliano ya nyuklea yaliyosababisha mvutano mkubwa kati ya Iran na Marekani/ Usalama wa barabarani > Mahojiano/ Arusha: Mashirika ya kiraia yanatarajiwa kutoka na tamko la pamoja linalolenga kuihamasisha serikali kufanya mabadiliko ya sheria ya asasi za kiraia/ Hakuna ahueni Eritrea mwaka baada ya makubaliano na Ethiopia