UK-Matokeo ya uchaguzi mkuu ulioitishwa mapema na waziri Mkuu Theresa May wakati taifa hilo likijiandaa kufanya mazungumzo ya miaka miwili ya kujiondoa Umoja wa Ulaya// Qatar inajikuta imetengwa chini ya shutuma za kuunga mkono ugaidi lakini mzozo huu wa kidiplomasia hasa unahusu mapambano ya kuwania madaraka ya vijana wa kifalme huko Ghuba ya uarabu wakisaidiwa na Rais Donald Trump wa Marekani.