Israel inapiga kura siku ya leo katika uchaguzi utakaoamua iwapo waziri mkuu wa sasa Benjamin Netanyahu ataendelea kuwa madarakani licha ya tuhuma za rushwa dhidi yake/ Kwa mara ya kwanza aliekuwa gaidi wa kundi linalojiita Dola la Kiislamu alierejea nchini Ujerumani kutoka Iraq anafikishwa mahakamani kujibu tuhuma juu ya kuhusika na uhalifu wa kivita/ India inajiandaa kwa uchaguzi mkuu wiki ijayo