Wakati jeshi la polisi nchini Tanzania likitangaza kuongeza nguvu kuwasaka watuhumiwa wa shambulizi dhidi ya mbunge wa Chadema, Tundu Lissu bado hali ya sintofahamu imeendelea kuwakumba makundi mbalimbali ya watu// (Wakati makundi ya kigaidi yakiendelea kuviumiza vichwa vya watawala duniani kote, ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa imeeleza chanzo cha vijana kujiunga katika makundi hayo.