Rais wa Tanzania amesema kuwa jitihada za makusudi zinahitajika ili kuweza kuwakomboa wanawake kutokana na changamoto zinazowakabili na hivyo kukeamisha harakati za kimaendeleo zinazofanywa na wanawake nchini Tanzania/ Muuaji wa Canada alikuwa na chuki dhidi ya Waislamu - Polisi/ IAEA yataka majibu kutoka Iran kuhusu shughuli za nyuklia/ Umoja wa Mataifa walaani machafuko Jamhuri ya Afrika ya Kati