Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe ashambuliwa/ Mahojiano na msemaji wa chama cha Chadema na pia na Tundu Lissu kuhusu kushambuliwa kwa Mbowe/ Chama cha Wanasheria nchini Kenya kimesema kitawasalisha ombi kwenye Bunge la Taifa na Baraza la Seneti, kwa lengo la kuanzisha mchakato wa kumshitaki rais Kenyatta/ Maelfu wamuaga George Floyd kabla ya mazishi yake