Wabunge na maseneta wa Somalia leo wanamchagua rais wa nchi hiyo, huku ulinzi mkali ukiwa umeimarishwa// Mkutano wa kiuchumi kati ya Ujerumani na nchi za Afrika Mashariki unaanza leo mjini Nairobi// Kansela wa Ujerumani Angela Merkel amezuru Poland kwa mara ya kwanza tangu serikali ya mrengo mkali wa kulia ilipoingia madarakani mwaka 2015.