Wananchi wa Ghana wanaendelea kupiga kura na kumchagua rais// Watu wanne wamefariki katika hospitali kuu ya Mombasa wakati mgomo wa kitaifa wa madaktari na wauguzi nchni Kenya ukiingia siku ya tatu// Rais wa Marekani, Barack Obama ametoa hotuba yake ya mwisho kuhusu masuala ya usalama wa taifa.