Wakazi waliokimbia Volcano DRC watakiwa kurejea nyumbani/ Kiongozi wa kijeshi nchini Mali, Kanali Assimi Goita leo hii ameapishwa kuwa rais wa mpito/ Mashambulizi ya wanamgambo wa Taliban yameongezeka nchini Afghanistan ambapo wanajeshi wanajeshi 150 wameuwawa/ Polisi ya Israel imesema leo kuwa imezuia kufanyika kwa maandamano ya Wayahudi wenye misimamo mikali ya kizalendo