Uturuki: Bomu laua watu kadhaa Istanbul// Clinton apata wajumbe wa kutosha kuwa mgombea// Uganda: Rais Museveni amewateua wanasiasa wachache wa upinzani kuwa mawaziri huku akimteua mkewe kuwa waziri wa elimu na michezo// Baadhi ya waumini wa Kiisilamu katika nchi kadhaa ikiwemo Tanzania na Kenya leo hii wameanza rasmi mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani