Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi-CUF, Profesa Ibrahim Lipumba amejiuzulu wadhifa wake huo alioutumikia tangu mwaka 1999// Hali ya usalama nchini Burundi bado inazidi kuwa tete// Bawa la ndege lililogunduliwa wiki iliyopita katika kisiwa cha Reunion limethibitishwa kuwa ni la ndege ya MH370