Wananchi wa Gambia wanateremka vituoni leo kuwachagua wabunge wao-uchaguzi wa kwanza tangu alipotimuliwa madarakani Yahya jammeh// Shirika la Wakimbizi la Umoja wa Mataifa, UNHCR, linayataka mataifa ya Ghuba kujitolea zaidi kuwasaidia raia wa Syria// Serikali ya Tanzania imeanza kuchukua hatua za kukabiliana na ukataji ovyo wa misitu.