1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

06.03.2021 - Matangazo ya Jioni

6 Machi 2021

Mapigano ya kuwania jimbo la Marib nchini Yemen yamewauwa watu 90 ndani siku moja iliyopita Kansela wa Ujerumani ameonya kuwa janga la Covid-19 linatishia mafanikio ya usawa wa kijinsia Kiongozi wa kanisa katoliki duniani Papa Francis amekutana na kiongozi wa waislamu wa Shia nchini Iraq

https://p.dw.com/p/3qIz7