Nchini Tanzania kuna matarajio yanayotofautiana kuhusu ujio wa Mdhibiti na Mkaguzi mpya wa hesabu za serikali aliyeanza kazi hii leo/ Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania ametimiza miaka 4 tangu aingie madarakani. Watanzania wametoa maoni yao kuhusu siku hii/ kenya: Suala la serikali kuipunguzia bajeti idara ya mahakama imekosolewa sana na jaji mkuu