Katika hali ya kushangaza, mataifa matano ya Kiarabu yamekata mahusiano yao ya kidiplomasia na Qatar// London-Polisi wameendeleza misako dhidi ya washukiwa wa ugaidi baada ya watu 7 kuuawa mwishoni mwa wiki iliyopita na wengine kadhaa kujeruhiwa kufuatia shambulio la kigaidi jijini humo// Rwanda-Vyama vikuu viwili vya upinzani vimetangaza kumuunga mkono Rais Kagame kwenye uchaguzi mkuu wa Rais.