Merkel anaanza hii leo ziara rasmi ya siku nne kusini mwa Afrika/ Uturuki na Umoja wa Ulaya zilitia saini mkataba kuhusu wakimbizi mnamo mwaka 2016. Sasa pande zote mbili hazifurahishwi na mkataba huo lakini kuufanyia marekebisho inaonekana kuwa vigumu/ Kundi la watalii 27 wakiwemo wenye ulemavu wanne kutoka nchi za Marekani, Israel na Tanzania, wameanza safari ya kupanda mlima Kilimanjaro