Polisi ya Uturuki imewakamata washukiwa kadhaa wengine wapya leo katika misako mipya kuhusiana na shambulio katika klabu ya usiku// Mkuu wa majeshi ya Gambia, Luteni Jenerali Ousman Badjie, amerudia kuelezea hatua yake ya kumtii kiongozi wa muda mrefu wa nchi hiyo, Yahya Jammeh, licha ya kushindwa katika uchaguzi wa mwaka uliopita.