Wanyarwanda wamepiga kura leo katika uchaguzi unaotarajiwa kummpa ushindi wa kishindo rais wa kipindi kirefu nchini humo Paul Kagame// Kinara mkuu wa upinzani nchini Kenya, Raila Amollo Odinga, amebuni kikundi cha wataalam wanane ambao watasaidia kupisha serikali yake iwapo atashinda kwenye uchaguzi mkuu Jumanne Ijayo.