Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani Heiko Maas, amemaliza ziara yake katika jiji kuu la kibiashara na kiuchumi la Tanzania, Dar es Salaam// Iran imetishia kujiondoa kwenye mkataba muhimu wa nyuklia, iwapo rais Donald Trump wa Marekani ataamua kuiondoa Marekani kwenye mkataba huo.